Duration 17:53

Je, Ni Busara Kubatili Mafundisho Ya Kanisa Langu Na Kubadili Dini

2 992 watched
0
67
Published 19 Dec 2014

Nilibatizwa wakati nilipokuwa na umri wa miaka tisa na kwa kweli nilipokea kipa imara miaka miwili baadaye. Naam, kwa miezi michache iliyopita nimekuwa nikifanya utafiti mwingi kuhusu Kanisa la Mungu na nimeweza kutambua kile ninachohitaji kwa kweli. Naam, swali langu ni; Je, itakuwa ni busara kwangu kubatilisha mafundisho ya Kanisa langu na nini itakuwa athari?

Category

Show more

Comments - 14