Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
/watch/AEB06hqV3uPV0 --~--
Ili kufikia mafanikio zaidi ya hapo ulipo, ipo haja na ulazima wa wewe kujituma na kufanya kazi kwa bidii sana nje ya yale mazoea uliyojiwekea. Kwa mfano, kama umezoea kufanya kazi kwa saa 8, ongeza masaa mengine manne ya ziada. Kama umezoea kuamka sa 12, anza kuamka saa 11 alfajiri.
Fanya kitu ambacho kitakutoa nje ya mazoea yako yaani ‘comfort zone’. Kwa chochote kile unachokifanya, hakikisha unaongeza hatua moja zaidi na hiyo itakusaidia sana kujenga tabia mpya na maono yatakayokuwezesha kufika mbali zaidi kimafanikio.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/
TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne
FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne
LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#HamasaYaLeo #Mazoea #EachOneTeachOne