Duration 00

KUZA NYWELE NYUMBANIFAIDA ZA PARACHICHI X TUI LA NAZI STEAMING YA NYWELE Ika Malle

162 557 watched
0
1.5 K
Published 17 Nov 2018

Category Howto & Style

Show more

Comments - 158
  • @
    @aishaaaa69876 years ago Mashaallah, dada unanywele ndefu mpka nazitamani dah. 4
  • @
    @nadiaibrahim45493 years ago Habari dear mm nywele yang ngumu je inafa.
  • @
    @zakialosjack75182 years ago Hi dada nimependa darasa lako naweza fanya hvyo kwa nywele zenye dawa.
  • @
    @tabbywambs32055 years ago Nikuulize na kitunguu na tangawizi zinajaza nywele? 3
  • @
    @user-uz6el3vt1f11 months ago Mm nywele zangu nipaka nikakocha kuwazinawacha tatizo nn.
  • @
    @nurushukrannitajaribukitun28764 years ago Unapaka kwawiki marangapi dada nimependa inshaaaallah nitaanza kutumia. 4
  • @
    @bettyabilla49225 years ago Gai thanks for the tip ntajaribupia thanks alot.
  • @
    @Kenchiyh6 years ago Nauna nywele ndefu adikutengeneza. Tfs.
  • @
    @christinaexavery96735 years ago Mi nilisha wai kufanya ivyo nywele zangu zilibadilika na kuwa nyepesi zaidi.
  • @
    @roidatadey86565 years ago Waoow nywere zako zimelingana na zangu. 1
  • @
    @happyjohn732 years ago Alive my dear endelea ivyo nizuri sana wapendwa.
  • @
    @muniraabdulrahman56562 years ago Ukishapaka steaming unakowha tena na shampoo au maji matupu.
  • @
    @halimanoor71383 years ago Mm nataka kukuza zangu lkn hazitakiku kua tena nifanye n.
  • @
    @abuudaru64933 years ago Niukweli jamani nywele zetu zinakatika.
  • @
    @neysaimon95605 years ago Masha llah huo unywele. Upaka baada ya ck gap ndo unarudia au kila ukijiskia kupaka.
  • @
    @mussacholobi53625 years ago Hongera sana mdada unaelimisha vizuri sana hadi mtu unaelewa mimi ndio nimeanza hiyo stiming ya aina hiyo nimeona matokeao nilikuwa nafanya zingine nywere zako ndefu sana hongera sana naamini na mimi nitafika.
  • @
    @nyasojasmin24466 years ago Nywele zako nzuri jamani, na ni refu mnoo.
  • @
    @gillezaga88333 years ago Nywele yangu inakatika usoni unanisaidiaje.
  • @
    @aminamussaramadhani2195 years ago Unaweza tumia kama husuki? Maana mm nina tatizo nikisuka na i' m a kichwa je naweza kumtumia njia hii ilikukuza nywele kwa sababu napenda nywele ndefu, naomba unishaurj kama inafaa. 2
  • @
    @suhayllahabdull57955 years ago Asnt sna na natakiwa nifanye kila baada ya mda gani.
  • @
    @dianamalingumu45165 years ago Ukichanganya
    yai
    parachichi
    nazi
    asari
    haiwezekani au vitu viwili tu.
  • @
    @neemabwenge2465 years ago Et mamaa kwa apa moshi umepata wap io share butter. 1
  • @
    @fatmashaffy93355 years ago Ety mamy nywele zang n z dawa znafaa kuifanyia hyo stimin.
  • @
    @tauskipara98025 years ago Dada nywele zangu ni fupi je naweza kufanya iyo steaming?
  • @
    @barikikaroli60886 years ago Ni nzuri sana mimi huwa nafanya hivyo video nzuri dear na nywele zako nazipenda. 1
  • @
    @fatmamrisho74383 years ago Dah hilo parachichi nimelitamani kula jaman nitaweza kweli kupaka kichwani na uroho huu.
  • @
    @zainaanzuruni12475 years ago Nime ipenda kazi yako
    unaweza uka nisaidia namba yako dada kwakuwa naitaji mwelekezo zaidi.
    4
  • @
    @julianasabrere61985 years ago Naweza kukaa kwenye steamer baada ya kupaka hii steaming?
  • @
    @jeniphavicent86922 years ago Kwahiyo naiosha kwanza kabla ya kupaka huo mchanganyiko?
  • @
    @ezekiafilbert48964 years ago Nimeipenda ila sina noti ya kununulia hiyo nazi we mungu nisaidie. 1
  • @
    @salmaabdallah38215 years ago Shampoo gan nitmie nywele ang ina mba jmn alaf inaniwasha.
  • @
    @daniellatemu91926 years ago Naitaji hiyo kofia nitapata wapi? Nimetafuta nimekosa.
  • @
    @wemamwandiga60605 years ago Ika hi! Sorry hiyo cantu kwa dar naipata wap?
  • @
    @laurenciam2i4595 years ago Nikimaliza kuonsha nywele nazikausha na nini ili niweke steming?
  • @
    @mwanaidibaraka28715 years ago Nnavyopenda parachichi ningekula lote hata nywele nsngezikumbuka. 1
  • @
    @nawalinesaid62105 years ago Mambo ika
    kabla ya kupaka huo mchanganyiko unaosha kwa maji bila shampoo?
  • @
    @adammtundu12964 years ago Mbona hausemi km kwa wiki una paka mara ngapi au kwa mwezi.
  • @
    @sadaally99786 years ago Ivi ni kweeli hii nywele huwa zinakua?
  • @
    @devothamrina29972 years ago Nimefurahi kujua ila tatizo sijui nywele yangu inapokea stimini ipi maana nina nywele ngumu haswa.
  • @
    @anetaaneta12165 years ago Iyo nyeupe inaitwaje na je naezatumia parachichi pekee au.
  • @
    @anetaaneta12165 years ago Pia naeza changanya parachichi na yai nijibu plz. 1
  • @
    @AnisaAnisa-db4sw6 years ago Sister mambo naomba kuuliza avocado na tui la nazi ukisha maliza kupaka la kama unaosha una tumia shampoo tena ama unaosha tu bac. 1
  • @
    @LifestylewithLyne6 years ago Sijawahi fanya steaming tangu nywele zangu zizaliwentajaribu ila nahisi hilo parachichi ntaishia kulila tu. 3
  • @
    @sigridvahaye22796 years ago Inakuaje nikitumia nazi ya kukuna mamie. 1
  • @
    @veronicalelo3326 years ago Naona utumie nazi natural isiyo na chemical au sawa tu. 1
  • @
    @hasnaabduly49456 years ago Najikuta ninanywele za hivo uwii me ngoja nijitahidi labda nitakua nazo. 3