Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais John Pombe Magufuli kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Amewasili kwa ndege maalum ya serikali ya Misri na kupokelewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
@bashirumkono2087 years agoHakuna linalofanyika bila faida na hasara hongera mweshimiwa rais. 2
@
@phaustaemma33277 years agoMapovu yanawatoka hamchangii hata mia nzuri makamandaa. 1
@
@deadcrush3 years agoPicha- sifuri. Sauti- sifuri. Ilikuwa siku nzuri na maalumu kwa taifa.
@
@haulefrancis28625 years agoSamahani misri imepata huru 1922 au 1952.
@
@rashidmoche87097 years agoKaribu rais wa nchi yenye nguvu kijeshi africa, middle east na arab league baada ya uturuki. 3
@
@dibodiboo19047 years agoAche ujuha huyo anae tangaza misiri haina wakazi milion 9 ina wakazi milion 90 ni nchi ya pili yanye wakazi wengi barani africa bada ya naigeria yenye watu milio 140 na.
@
@scayzuu96097 years agoKweli binadamu hatuna shukurani yote anayofanya rais wetu unayabeza ilawetu chapa kazi, kwani toka u. Eingia madarakani hujaenda kuomba misaada wao wanakuja wenyewe. 6
@
@suleimanmohammed53447 years agoMtangazaji anasema kwa mujibu wa takwimu ya sensa ya 2015 misri ina watu milion 9. Ni tisa au tisiini? 9 au 90? 2
@
@mrsdully16137 years agoHuyo ni mkuu wajeshi la misri sio raisi wao walomchagua 2015 muhammad mursi washamuweka jela kwakua yy ni raisi asopenda rushwa n. K akataka awekwe ya hilo liabdulfataha ndo alofanya mpaka misri watu kuuana mpaka dkk hii watu wapo taabani sijui kafatann tanzania muwe makini asijeanzisha mauaji nahuko jmn from+968. ...Expand5
@
@edwardjoseph52977 years agoWakati niko shule ya msingi nilifundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru africa ni ghana na ilipata uhuru mwaka 1957/8. hiyo mistri 1952 id="hidden4" duuh. au mwalimu wangu na vitabu vya kipindi hicho ni bomu. ...Expand2
@
@halimambwego82877 years agoAhsante global tv online kwa habari hii.
@
@naftalichacha53937 years agoThat is wastage of resources. Kwan angepokelewa bila hayo marisas kungetokea shida.
@
@suleimanali99397 years agoMaisha mtachezeshwa ngoma kwa ujinga wenu. 1
@
@danieledaniel54917 years agoMatumizi mabaya ya mizinga! Kwani huyo rais kaifanyia nini tanzania? 4
@
@user-lt2tc2ry4t7 years agoRajum huyu hata akiwa na pesa sisi tutazisikia tu katika t v matarumbeta oyeee. 2
@
@michaelkaruna52397 years agoHamtaki kufanya nazi ndio maana mnayaona maisha magun magufur yuko saf. 2
@
@badboy25777 years agoHuyu hana hata pesa ameiletea niniheshima kubwa wakati yeye ni rais mwanajeshi ambaye nchini kwake kumeshuhudiwa visa tofauti vya uongozikumfundisha nini magufuli? 2
@
@herinmtaita93497 years agoPamoja mze wenye kutaka maendeleo wote lazma watakufuat tu big up raic wetu.
@
@mahonakatani51817 years agoKikubwa mtuboreshee mazingira yanahaituhusu sisi.
@
@ramadhanndemeye69327 years agoWatanzania tume kuwa kila kitu ni kupinga na hiyo ni dalili ya ushamba. 3
@
@lazarohamisi52027 years agoAsente kwa kuja president wa misri. Huo ndo utamaduni wetu. 1
@
@shukranikakati88877 years agoUnajuwa wat mnazodoa sidhan mkipewa uongoz ata wek kamamtafikisha.
@
@ramadhanndemeye69327 years agoBahati mbaya siku hizi kila mtu ana sim ana weza kusema utumbo wake wengine hawana hata uwezo wa kufikiri na hiyo ndio shida.
@
@donaldmwangasa8527 years agoMtangazaji umekosea bhana, by 2016 tu cairo peke yake ilkuwa na 12 ml people so population ya egypt ni 90 million na si 9 million kama ulivyopotosha. 2
@
@dibodiboo19047 years agoMisiri ndio nchi ya kwanza 1 barani africa kwa nguvu ya kijesh na duniani ni ya kumi na nne 14.
@
@sazafsuma75427 years agoSisi mizinga wala hatuna mpango nayo sema tu viongozi wetu kupenda sofa zakijinga. 5
@
@jumadea12517 years agoAmeleta hela nini? Mbona kapewa heshimu kubwa sana.
@
@dibodiboo19047 years agoHuyu rais wa misiri abdul fatah cc ni dikteta amependuwa srekali ya mohamed mursi ilio chaguliwa kwa halali na wananchi wa misiri na ailifanikiwa kumpenduwa. ...Expand
@
@mrsdully16137 years agoHuyo ni mkuu wajeshi la misri sio raisi wao walomchagua 2015 muhammad mursi washamuweka jela kwakua yy ni raisi asopenda rushwa n. K akataka awekwe ya hilo liabdulfataha ndo alofanya mpaka misri watu kuuana mpaka dkk hii watu wapo taabani sijui kafatann tanzania muwe makini asijeanzisha mauaji nahuko jmn from+968. ...Expand5
@
@edwardjoseph52977 years agoWakati niko shule ya msingi nilifundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru africa ni ghana na ilipata uhuru mwaka 1957/8. hiyo mistri 1952 id="hidden10" duuh. au mwalimu wangu na vitabu vya kipindi hicho ni bomu. ...Expand2
@
@dibodiboo19047 years agoHuyu rais wa misiri abdul fatah cc ni dikteta amependuwa srekali ya mohamed mursi ilio chaguliwa kwa halali na wananchi wa misiri na ailifanikiwa kumpenduwa. ...Expand
Related videos for Shuhudia Live Rais Magufuli Alivyompokea Rais wa Misri, Mizinga Ilivyopigwa:
hiyo mistri 1952 id="hidden4" duuh.
au mwalimu wangu na vitabu vya kipindi hicho ni bomu. ...Expand 2
hiyo mistri 1952 id="hidden10" duuh.
au mwalimu wangu na vitabu vya kipindi hicho ni bomu. ...Expand 2