Duration 38:3

Wastara aeleza kwanini ndoa yake na Mbunge imevunjika ndani ya siku 80

754 402 watched
0
2.7 K
Published 26 Apr 2016

Mwigizaji Wastara anavyo vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar, hii ndio ndoa yake iliyowahi kukaa kwa muda mfupi zaidi.

Category

Show more

Comments - 458
  • @
    @fainerjabil53438 years ago pole sana Wastara Allah akupe Subra na Akujalie Mme mwingine atakayejua thamani yako 7
  • @
    @saidikobossa74898 years ago Wastara you need my kind of husband.
    Nimeshaoa na sitaongeza mke but tuko wachache sana INSHA ALLAH, Utapata.
    Utapata mwenye uwezo wa kawaida na mtashiriki wote kujenga Maisha.
    INNA LLAHA MAASWABIRIIN
    ...
    17
  • @
    @leahpeter88157 years ago pole sana,bora kupata mume anayejua kubembeleza coz hela zinatafutwa..pole sana dada'ke 6
  • @
    @edinaedward91448 years ago Da wastara pole mungu akuepushie kila lililo baya nakupenda sana 8
  • @
    @janetbernad52588 years ago pole sana wastara dada yangu nimekuona huruma sana .yote maisha .utazoea .ndo maisha ya kuolewa yalivyo 3
  • @
    @marciakassimkassim92758 years ago Katwa wasii wote bongo...wasatra nakupenda.....coz unajieshim ..sana...nii mvumilivu sjapata kuona....Masha Allah.....yote yalo semwa kuusu kuvunjka kwa ndoa sikuamn...kher umesema kwa kinywa chako..pole kwa mitian....Yataisha in sha Allah..Nakuomba wastra kaa umepona na unanguvu...nenda ukafanye Hajji..uenda Allah anaeza itikia dua zako...mitan ikaisha in sha Allah... ...
  • @
    @mendeadui51118 years ago yaani wastra we kiboko...nimekuheshimu dadangu....kweli kabisa mume wa mtu who mtamu kabisa..hongera sana. 2
  • @
    @shamsakenya30938 years ago Subhana'Allah.Pole sana Dada
    .Usijali mungu atakupa mume mwenye imani InshaAllah usikate tamaa.
    2
  • @
    @luckyasa39608 years ago pole saana Mumy mungu atkuonyesha njia RIP sajuki 10
  • @
    @janeedward87238 years ago Mdogo wangu Wastara, wewe ni mzuri umeumbwa ukaumbika. Pole sana kwa story zako zote, zinatia huruma, zinafundisha na kwa ukweii mhhuuu! pole na hongera. Ila wewe ni simba jike simama mwenyewe maisha unayaweza. Usiruhusu kujipa maumivu tena! Maisha yako si ya kuwafanya wengine kutajirika kwa kuandika na kuuza story juu yako. You are unique my dear, you are worthy my darling. stop counting marriages. Let God be your husband kama neno lake lisemavyo yeye ni mume wa wajane na baba wa yatima... Nakupenda sababu uko na moyo mkuu stop matatizo katika matatizo yako allow God to take control over your life. ... 13
  • @
    @jumakhamisi55888 years ago pole sana my dear sister Wastara. nimeumia sana saaana ila naamini Mola yupo pmja nawe na malipo ni hapa duniani atakulipia In sha Allah. HUKUMU yake ataipata hapa duniani kwakukudhalilisha, kukukashifu, kukunyanyasa nakukuumiza moyowako, hakika kuna Wanaume wengine hawajui kupendwa wanaipata bahati lkn wanazichezea. hakuna kitu kimeniuma km kukuita screpa hlfu kuja kukukashifu na kukusingizia uongo imeniuma sana kwani naamini hakuna binaadamu aliekamilika na hujafa huhaumbika na wala wewe hukuomba uwe hivyo. M/Mungu atakufariji habibty. atakupa stara km jina lko lilivyo In sha Allah. Love you so muuuch my sister. shukran Kaka Ayo kwakutujuza. ...
  • @
    @lasoitantoya42608 years ago Pole sana Wastara mimi nimekupata nikiwa Kenya kijijini Samburu.Nimejunza mengi sana .Huyo Mbunge ana mashetani ya mbunge pia anatatizo kubwa anahitaji si maombi tuu bali uhauri wa kimatibabu. Tafathali Millard huyu dada apewe Ulinzi wakutosha...huyo mbunge siamini aenda ...
  • @
    @sophiealexander87038 years ago Muombe mungu akupatie mume mwema kama marehemu sajuki. Pumzika kwa amani kaka sajuki 6
  • @
    @graciousjerry13228 years ago ooooooops!! 😢😢😢😢 am speechless! pole sana. wastara ww ni shujaa wangu! yaan ww ni kioo changu 1
  • @
    @mariakarey7018 years ago pole Sana dada wastara Mungu yupo hutapata mwenye kukuthamini take time 1
  • @
    @sakinasheidhan46425 years ago Pole sana wastara Allah atakusaidia utapata mume bora 2
  • @
    @marthalazaro17196 years ago pole Sana wastara uyomwanaume nijibu amekudhalilisha kwawatu kakufatamwenyewe alafuanashidwa kukuheshim. Mungu yupo usikurupuketena piausisikilize ushauliwawatu utakuponza.
  • @
    @samsonpeter18917 years ago aki pole wastara. sikujui sana but have followed your history. for sure its painful but trust in God 7
  • @
    @marashtv85558 years ago pole sana dada wastara mungu atakupa mwengine insha allah 1
  • @
    @mickeyladyilikeyourvoice78518 years ago wastara twakuombea inshaallah Mungu atakujaalia upate mume unaemuhitaji kama sajuki inshaalla 3
  • @
    @annewetungumusuya92138 years ago Wastara ulipata wapi ujasiri wa kuenda moja kwa moja kuonana Na mke wa huyu jamaa? I fear to be a 2nd yf really cz matokeo ni machungu.pole Dada Gods time is the best 3
  • @
    @michaelmasijah7246 years ago Wastara, you're a super woman kwa upande wangu nakuelewa sana!
  • @
    @memoriserichard71938 years ago nakupenda sana wastara n pole kwa yaliyokukuta dada angu Mungu akubariki 1
  • @
    @athumannambombe43348 years ago Pole sana Ndugu ya Wastara unachopaswa kukielewa ni kwamba hizo ni Changamoto unazotakiwa Uzibadili ziwe Fursa, Usife Moyo! 4
  • @
    @sumaiyaabdi70788 years ago Eti ameanguka kwa pikipiki mara amekwaruzwa jicho hahahahaha. what kind of a man was he? Those were not good signs & Who is this guy by the way? Daah tanzanian politicians are entertainers & entertainers are politicians.Sio mume yule wallah what a mess!
    Thank you millard for letting Wastara tell her story without interruption.its the best thing ive watched on YT today
    ...
    9
  • @
    @salvakimati19448 years ago pole sana wastara. maisha ndivyo yalivyo na challenges zake 1
  • @
    @38wahida8 years ago sijui kwann wastara alikubali kuolewa na yule ,jamaa ana matusi yule kama barazuli ,tabia zake yaan nadhan hakumjua tabia zake .ila ndio maisha . 12
  • @
    @johnjackson43636 years ago Wasanii mnajua kiongea sana sikuamini 100% yafaa milad ayo tusikie na upande wapili 9
  • @
    @mayadahassan3578 years ago Pole sana Dada yng. Ndo maisha inshaallh allh atakuajaalia Mwenye kher na ww 1
  • @
    @sirielsamweli56884 years ago Wastara pole hata mie nilikiona hicho kwa mume wangu,,,yaaaniii anakuja anakuta wageni ndani, anaingia kwa dharau anasema zima TV ,,, yaaaniii Mungu nisimamie ktk hili,,,wanawake tunapitia mambo mengi sanaaaaaaaa. 1
  • @
    @anethlucas40457 years ago pole mpenz wangu wastara mungu akupe itaji lamoyo wako nalipo usijali hata
  • @
    @rizham64428 years ago Subhana Allah!!! Pole Sana Wastara wengine SI wanaume magumegume ndio kama hayo
  • @
    @joycemartin53065 years ago pole Sana dada wastara.kiukweli Usio fichika Uyo mtu alitegemea kupata mafanikio kupitia ww. ila Mungu atakulipa kwa alio yafanya. namchukia Kiukweli maana yupo kama muuwaji hayo maneno sio kabisa
  • @
    @mariammahaba56618 years ago mackini dadangu pole sana.hadi nahisi machoz.eti anakuita scrap?hukupenda ww uwe hivyo.ila hata yy ajafa ajaumbika.jipe moyo ulichukua uwamuzi wa sawa kabisa.ata MUNGU in shaa ALLAH utayasahau yote hayo.pole sana kipenzi. ... 1
  • @
    @rosemsemwa24214 years ago Ushaur wangu kwa wastar hupaswi kumchukia uyo baba muombee maisha malefu ni mungu tu alikuunganisha nae ili upate sapota ya matibabu tu bas na sio vingine wacha maisha yaendelee
  • @
    @ashagrills13198 years ago duuuuuhhhh pole sana mungu atakujaalia utapata mume mwema 2
  • @
    @rehemakhamishassan99405 years ago Daah.
    dada pole sana my dia na hilo dada lilikukuta kwa kuwa una stress dada ndio maana hukuchagua.
    lakini pia heshima ya familia na kujiheshimu kwako ndo kulifanya ukubali kuolewa.
    Napenda kukushauri kuwa usikate tamaa yupo aliyepangwa na akakuoa na akawa zaidi ya sajuki Mola hakuondishei ila hukuwekea kilicho kizuri zaidi.
    Nakupenda sana dada
    Natamani niwe na namba yako ya simu
    ...
    1
  • @
    @fat-hiahuwel62068 years ago Pole sn dada Wastara Mungu yupo pamoja nawe 1
  • @
    @ashapearubart26248 years ago Pole sana.mwenyezi mungu atakuletea mema. 1
  • @
    @fatmajakamwalela78428 years ago Pole sana dadaa mungu yuko pamoja nawe....wanao Sema mume wa mtu sumu sioni kama mko sawa kwani mume ana haki ya wake wa 4
  • @
    @suleimanhega49828 years ago Pole sana; Bi. Wastara.
    Lakini hupaswi kukataa ndoa na juwa kuwa Binaadamu wote sio sawa. Ndoa ni jambo la heri na baraka ikiwa Mume au Mke watadumisha mambo haya; Upendo, Imani, Kuthaminiana, Kujaliana na Subra.
    Ushauri wangu kwako, Bado unaomuda kwavile wewe bado kijana mrembo sana, unapendeza si busara kukaa bila ya kitulizo cha moyo na nafsi kitakachokupa faraja. "Nacho ni Mume" Pole sana. ..Kwa kawaida wenye pesa au wanaopata pesa 'Huharibika kwa Jeuri, Kibri, Dharau na Kutokujali' Inatokana na kutokujielewa, anachoona yeye ni pesa tu ndio kila kitu. Pole sana. ...
    Nakukaribisha nyumbani Zanzibar na mimi naitamani hiyo nafasi ya (5).
    Kosa la Mpumbavu asiyejielewa lisitukoseshe wengine wenye nia na upendo wa dhati.
    "Inshaallah Mungu Akubariki na akulinde na husda pia akupe afya njema" AMIN. ..AMIN (0777481516)
    ...
  • @
    @rafanasadiki11108 years ago Wastara my sister katika maisha tunakutana na watu tofauti Sana
  • @
    @lasoitantoya42608 years ago Hadi Saa Sita usiku12:00pm aah vipi mgeni alikuwa na shida kweli. Wastara your the Best#Kenya 1
  • @
    @farajaalex16037 years ago Edith umenifurahisha sana safi sana ubaguz sio mzuri ikiwa sote ni watoto Wa baba mmoja 4
  • @
    @saumuabdallah74848 years ago hkna dhiki wa dhiki @wastara kuwa na subra in shaa allah utapata alobora zaid ya uyo.muombe mola kwa sna.maamuzi yko sio mabaya coz unajitahidi kuepukana na zinaa allah akufanyie wepec
  • @
    @angelsjg26838 years ago wastara na kupenda sana mama, pole sana 3
  • @
    @sanayairani222love28 years ago Pole sana wastara kwa mitihani inayokutokezea nausiache kumshukuru mungu kwani yote nimajaribio yake tu anatuangalia waja wake vp tutamshukuru au la
  • @
    @serodaflorans92498 years ago pole xana my dear mungu atakupatia wako just trust in God 1
  • @
    @calvinmbwana11437 years ago dah wastara hakika wewe nimwanamke unayejitambua. nmeumizwa sana na maelezo yako. 3
  • @
    @hawahamisi62378 years ago pole sana my dada mungu yupa moja nawe 😭 2
  • @
    @shamimubinkhamisi87198 years ago subwanAllah pole sana dadangu mungu atakupa mume mtakae endan tabia kwa kwel Inshaa Allah and inaliza kwel
    umetufunza pia ss wadogo zako asnt
    tnx millard ayo god bless you bro
    1
  • @
    @sophiatesha96967 years ago pole xana Dada yangu mungu akupunguzie maumivu
  • @
    @anisiamedard37758 years ago pole my sister maisha ni safari ndefu usikate tamaa pia mtegemee Mungu kwa kila jambo
  • @
    @salmazena73888 years ago pole sana wastara uxijali mungu upamoja nawe dadaaa
  • @
    @sirialemmy378 years ago Sajuki Sajuki!!!!! Lahaulaa, namani sana kuwa na mwanamke wa namna hii! duuuu God bless u my dia
  • @
    @twoten25478 years ago Its true am one of your new supporter....... get back on your feet and move on....life is very short to let such scenes pull you back. Also be happy you made him love his wife back... yaani haukuvunja familia yake, atleast mahali popote walipo sasa wanajua tu ni wewe ndio ulisuluhisha matatizo ya ndoa yao. I salute you Big ...
  • @
    @annananna76228 years ago duh pole sana my dear hiyo ni hali ya dunia and God gives you strength
  • @
    @bintirashidantybaby81468 years ago subhanallah kweli majanga yani mpaka millard ameshikwa na baridi dooh 2
  • @
    @carenewera17098 years ago Pole wastara God is there for you dear.
  • @
    @nasrayahya28856 years ago du pole sana wasitala kiukweli unatia imani ktk hii ndoa yako ya huyo mweshimiwa kiukweli si wanawake tunapata mitihani sana ktk ndoa zingine tunazozipitia huyo hakuwa mwanaume bali nimtihani ulikufika hakuwa mwanaume wa thati kwako ... 2
  • @
    @usnahbakary37706 years ago pole.sana.dd.wastara.mungu.atakupa.mume.mwema.vumilia2
  • @
    @rashidarajabu72888 years ago pole sana wastara mola atakujaalia wako wa pekeyako ,unakila kitu umejaaliwaa
  • @
    @sallykanze8 years ago Umeongea vizuri sana wastara,pole sana dadangu na nakupenda bure 18
  • @
    @ernestjohanes90878 years ago duh pole sanaaaa usijali dada tunakupenda wewe una roho nzuri
  • @
    @everlinenkata36117 years ago Dada Wastara ww bado ni jembe! mungu atakupa haja ya moyo wako 7
  • @
    @nuruhussein53186 years ago sikilizeni wastara hawezi kuka na mwanaume yoyote kwakua sajuki nikiboko yake hakuna atakae shika pezi ya sajuki Ilove you wasitara
  • @
    @leonardikaku69808 years ago pole kwa yalio kukuta dada yetu jipe moyo utayashinda. 2
  • @
    @fredymdee76838 years ago Mmhm!!kama kweli haya yote yamekukuta pole sana dada angu. 2
  • @
    @marymugure22318 years ago pole dada, mungu amekubariki dada tafuta kijana mwenye hana...hakuna ndoa tamu kama hiyo. ..bt umheshimu kama mme ata kama hana ...
  • @
    @sabrinahkizzer52458 years ago Mungu yupo atakulipa tu usiumie sana Dada angu 👏👏 1
  • @
    @rudphyneric14465 years ago Pole sana dada wastara kaa t ulee watoto wak wanaume akili hawana
  • @
    @hamedaabdultaleb6358 years ago Mh pole Dada mungu akujaalie subrah IPO siku utapata kitulizo cha moyo wako 1
  • @
    @mamashakira35808 years ago Usiwaze mamy mitihani tumeumbiwa mshukuru mungu kakuacha mzima 1
  • @
    @kamkamkamkam96188 years ago thanks God for taking action before its late. God will take care of you and you will find your own husband 1
  • @
    @ashamohammedashamohammed74018 years ago pole my hakuwa mume huyo lilikuwa gumegume 7
  • @
    @sophiamwambi53958 years ago pole sana that's life u will move on 1
  • @
    @miriamfritsi91838 years ago pole,aunt nafurahi kwa kuwa unaongea kwa kujiamini sana,na kwa kweli wanawake yanatukuta sana kwenye ndoa zetu.hiyo ni changamoto kwenye maisha,muonbe sana mungu atakuletea mume wa ukweli,uchali ndugu yangu,wanawake kika kukicha tunajifunza mambo mengi sana ya wanaume.ila kitu kikubwa zaidi ni kuwa na afya bora,na maisha yaendelee mbele,wewe ni mwanamke shupavu .jiamini na utafanikiwa.29.4.16. ...
  • @
    @husseinkhassim56937 years ago hv wanaume wenye dini wamekosa kwelii au ndo hvo unatafta wat maarufu dada maisha hayana rewind tafta mume mwenye dini ukae ktk mising ya dini ili uendeleee kumuombea kwa allah sajuki amuepushe na adhabu ya moto lakini naona unatembea kichwa waz sjakuelewa kiukweli Allah akujaalie uishi ktk misingi ya dini ... 5
  • @
    @happinessmwaipopo74266 years ago Nakupenda sana Wastara una Busara sana
  • @
    @kili6654 years ago Some of the people they do smear campaign, isolate u later start verbal mental physical emotional abuse and anybody who helps u will be targed stay strong u seems to be brave woman God has plan for everybody on this earth
  • @
    @shinatamar97278 years ago pole sana ..mola yuko nawe dia wala usiwe na uchungu shukuru mola amekutibu hata kama sio pesa zake ipa ume tibika na kama aliona ata kuzazilisha basi aibu kwake maana hata mkewe mama watoto wake wame achana sebuse wewe nibora kwa mamuzi yako umefanya vyema sana ...
  • @
    @francismwalukunga21178 years ago WOOOO UKOvizuri tabia za watu bana usipime ila maisha ni vita bahati nzuri ulikua maacho mapemaERA SANA 1
  • @
    @erickjohn97878 years ago duh huyo jamaa inabidi tumuite MIKWARUZO MAN.😀😀😀 4
  • @
    @aishajumanne97548 years ago IPO siku utakutana na Mume wa kweli inshallah izo ni changamoto ktk maishaSite twkutwa na mengi.usiache kuswali
  • @
    @jasminmoshi68515 years ago Nakupenda bure dadangu,uko muwazi sana
  • @
    @sukaynaahmad50228 years ago duh! pole sana, matatizo hayo yanawakuta wanawake wengi sana, huyu mwanaume amuandalie mungu majibu,