Leo Desemba 09, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, miongoni mwao ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa na Mhe. Naibu Waziri Abdallah Ulega ambapo baada ya kula kiapo walifika katika Ofisi za Wizara na kupokelewa na Watumishi wa Wizara hiyo.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Mapokezi ya Waziri na Naibu Waziri Ofisi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo: