Duration 2:3

Mwamkulu, Mpanda: Mtia nia wa Udiwani almanusura apoteze fahamu wakati kura zikihesabiwa

169 watched
0
0
Published 27 Jul 2020

Mtia nia Udiwani katika Kata ya Mwamkulu iliyopo Manispaa ya Mpanda ambaye amepata kura 5 nusura apoteze fahamu baada ya kuanguka ghafla alipokuwa akitazama karatasi za kura za Mtiania Kalip Katani anaye tetea Udiwani Mtia nia huyo ameishiwa nguvu wakati anaona karatasi nyingi zina muelekea Kalip Katani . Mpaka dakika ya mwisho Kalipi Katani amepata Kura 69 kati ya kura 75 halali kutoka kwa wajumbe akifuatia na Mtia nia aliyepata kura 5 mwingine akijizolea kura 1

Category

Show more

Comments - 0