Duration 3:47

Polisi watumia vitoa machozi kuwatawanya watu waliokuwa wanasubiri mkutano wa Ruto Nyamira

61 727 watched
0
379
Published 8 Oct 2020

Naibu Rais William Ruto amelazimika kuahirisha mikutano miwili katika kaunti ya Nyamira baada ya maafisa wa polisi kutibua mikutano hiyo hata kabla ianze rasmi. Polisi wakilazimika kuwatawanya wakazi waliofika humo kwa kutumia vitoa machozi. Matukio hayo yakifuatia kanuni zilizotangazwa hapo jana na baraza la kitaifa la kutoa ushauri kuhusu usalama. kanuni hizo zinawataka wanasiasa kutoa ilani ya angalau siku tatu kabla ya kuandaa mikutano yoyote ya hadhara. Sam Gituku ana maelezo zaidi kuhusu matukio ambayo Naibu Rais amekashifu na kudai hayana maana.

Category

Show more

Comments - 147