Duration 40:4

YANGA SC 1-1 KARIOBANGI SHARKS: HIGHLIGHTS (SIKU YA WANANCHI)

206 754 watched
0
634
Published 4 Aug 2019

Siku ya Wananchi imehitimishwa jijini Dar es Salaam katika uwanja wa Taifa huku Wananchi #YangaSC wakikipiga na Kariobangi Sharks ya Kenya. Mapokezi yaliyotolewa na mashabiki, wananchama na viongozi wa Yanga SC kwa kikosi cha mwaka 2019/2020 ni makubwa na yanafurahisha. Bila kusahau kikosi cha Yanga Veteran kilivyoibuka na ushindi dhidi ya veteran wa Pamba FC. Ilikuwa siku kubwa na ya kihistoria ambayo itadumu kwenye kumbukumbu za Wananchi. Tazama matukio muhimu yaliyojitokeza kwenye siku hiyo ikiwemo magoli ya mechi zote zilizochezwa na umati wa #Wananchi waliojitokeza kuhamasisha kikosi chao na kuunga mkono harakati za #TimuyaWananchi.

Category

Show more

Comments - 207