Uwekaji wa akiba wa vikundi. Umoja ni nguvu na unasaidia vikundi kuwa na nguvu na kukuza amana na upatikanaji wa mikopo kwa wana kikundi kwa haraka. Sasa kupitia simu na hata kwenye matawi mnaweza kutumia huduma za vikundi kutoka kwenye benki yako. Umoja ni nguvu, umoja ni ushindi.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for NIKOFITI UWEKEZAJI KWA NJIA YA VIKUNDI: