@subiraboi93973 years agoSubhana allah yaarab tunajuwa huruma yako n nyingi kuliko yyote ya allah tuhurumie waja wako na uwape shiffaa wagonjwa in shaa allah. 1
@
@caslidajosephat89123 years agoJose msafi kweli duh nimekupenda jose, all in all mm napenda mnavyojituma hongereni na wote mliotoa michango. 6
@
@mouwanahamisi82163 years agoMung ataleta wepes in sha allah polen san kaka zahir na team yako mung awatie nguv afya subira na uvumiliv. 7
@
@asmaally99583 years agoDuu pole sana mungu atafanya wepesi ilamdadilike kichwani. 4
@
@zakiamsafiri123zakiamsafir73 years agoAllah atawaongezea nyote mliotoa mungu atamuafu kakayetu ataponatimu maxmamu allah atawalipa kwa kila jema. 16
@
@janethmagemakwakeliinauma35813 years agoHongera kaka kwakazi nzuri mungu akulinde.
@
@fatmamamlo78823 years agoAlie wavunja nguvu yule fadina wallah watu wamekata tanaa allah alete wepesi tujisukume michango iwe mingi inshallah. 3
@
@marialekinyi83823 years agoMungu akuongoze kaka, katika majukumu yako, na mungu wa mbinguni amfanyie wepesi apone ili alee familia yake.
@
@asiaghadija83333 years agoSubhanaallah allah akupe shifaa yaharaka. 1
@
@ummymzee51593 years agoAllah atamughafu inshaallah kuugua sio kufa kuumwa ni ibada na madhambi hupunguziwa. 2
@
@kisalaTV3 years agoAsante mungu kwa afya uriyo nipa, sio mm ni msafi sana ila ni kwa upendo wako, pole sana kaka mungu atakusaidia utapona. 1
@
@munirachangawa29283 years agoAllahu yashfik. Mungukuchanga kaka zahir. 1
@
@dottohamisi98443 years agoHongereni sana kwa kazi mzuli sana mwenyezimungu atakulipa inshallah atapona. 1
@
@munaahmed84993 years agoSubhannallah hujafa hujaumbika inadam tuwacheni majigambo ktk dunia hii dahh kaka allah atakufanyia wepes utapata afuen insha allah. 1
@
@mussamivache49863 years agoVipimo vimeonesha anaumwa nini jmn, alafu msiongeze watu wengine hadi hawa waudumiwe kwanza ndugu maximum ili msilimbikize wagonjwa mungu mwema awape afya njema atapona inshallah. 27
@
@fariarizaq75283 years agoMashaallah mungu atakupa shifah inshaallah kaka na zahir mungu akubariki sana inshaallah na wesako pia. 1
@
@ameenaameena12243 years agoMungu ampe shifaa yarabi dua kwako kaka ghangu. 3
@
@halishmwarua29573 years agoIn sha allah mungu hampe shufaa ya haraka huyu mgonjwa hapunguze chips hale ugali na mboga ni wazo langu tu ndio hapate nguvu. 6
@
@Awatee3 years agoInshallah allah awafanyie wepes awahifadh dunian na akhera awape umri mref wenye kheir nanyi amiin. 4
@
@nasseradel97843 years agoPoleni kaka zangu mungu atasimama nayi.
@
@awenasuleiman45193 years agoZahir unajitahid sana allah asimame nawe. 12
@
@roselambert67003 years agoMungu awabariki sana wote kwa upendo mkuu.
@
@sharinv88643 years agoPole sana mgonjwa mungu akufanyie wepesi utapona. Jamani heri mkono utowao kuliko unao pokea ulicho nacho towa ili uweze kubarikiwa unapata watu wana fedha. ...Expand
@
@nuruheartaman34663 years agoDah mungu wasimamie mnapitia magumu sana. 1
@
@alibell52463 years agoPole sana mgonjwa kwa kuumwa allah atakuponya inshaallah. 1
@
@dechaggagirl16143 years agoFabi bwana in shaa allah atapona mgonjwa wety kwa uwezo wa allah.
@
@violethswai80613 years agoMwenyezi mungu awabariki na kuwalipa kwa wema wenu.
@
@nasraabdallah8503 years agoSub hanallah pole sn kaka maskin allah atakuwaf inn shaallah utapona.
@
@hanifatanzania72583 years agoSubuhanallah allah ampe wepesi apone lnshallah. 12
@
@ashuramhando52853 years agoZahir wallah wewe ni zaidi ya ndugu na allah alikuchagua una moyo aliliona hilo hakika wewe ni wakwake atakulinda. 2
@
@hamidaalhabsi85683 years agoMungu atampa nafuu inshallah yaarabi atapona. 1
@
@Zahrazahra-ue7bp3 years agoJamani twende mbere turudi nyuma uyo mwanamke ata akidamka muimbiri atoingia ndani kwasababu ana mtoto na vire mgeni allah awatirie wepes mnao msuurikia kua na subra zahri inshaallah. 1
@
@sabihahamadi22873 years agoSubuhanallah yarabi mpe shifaaa huyu kaka naumiya kwakweli.
@
@khadijasalum23023 years agoAllah yashfii yarrab pamoja na team ya maximum tv. 7
@sadasalum87783 years agoKweli ni changamoto kweli kaka zahiri poleni sana, allah awanyooshee mkono inshaallah afanye wepes sana ktk hilii amiin. 1
@
@dorisurio80013 years agoPoleni sana. Mi ningekushauri mwanangu zahir. Hiyo nauli ya 200 mngemtafuta mama lishe mstaarabu awe anampa chakula na chai, inaweza kutumika hata siku. ...Expand
@
@jasminjuma63903 years agoSubhanallah yarabi mfanyie wepesi mja wako huyu. 1
@
@mkosakuumbwamwendazake42543 years agoFabby nyoa nywele bana uwe vizur kaz yko hairuhus uwe ivo kkangu asnt kwajuhud zenu max tv. 3
@
@rehemahramadhani34283 years agoDaah. Allah. Atamsaidia. Atapona. Nyie. 2. Hiv. Nywel. Zenu. Munyoe. Muwe. Kawaida. Il. Huy. Wifi. Anaonekan hajawai kufika. Dar es salam. 5
@
@fsaad51163 years agoZakir silazima aende kila siku kama transport ndio ghali bora medical hiyo starehe ya kula badae ale tu kawaida mambo ni mengi. Mufanye yalo muhimu ya matibabu.
@
@christinatarimo60263 years agoKaka huyu mama awe anaenda mara chache kwa wiki. Hiyo 200 ya nauli per day ni hatari. 3
@
@mouwanahamisi82163 years agoLeo nmewah si haba ngoj niendelee kusikiliz nishushe dua. 3
@
@fsaad51163 years agoJamani wako sawa kina fab musiwaingilie maisha yao jamani.
@
@roseatieno66913 years agoMashalla mungu atatenda. Fabian kumbe anaongea clean kabisa. 1
@
@saadiaali56093 years agoNa apunguze kula kuku pia ajihurumie na ajitambuwe yy ni mgonjwa amekuja kutibiwa pesa ni za kutumwa na wananchi sasa ajihurumie maana kuna mke na watoto. 1
@
@halimakihame17443 years agoDa mtihani kwani wale wa dada hamjawapata mana hapo ndipo wanapo takiwa wasapoti huyu mama. 1
@
@QwQw-tr7gy3 years agoWagonjwa wakiwa weng michango itadolola. 8
@
@zubedaliame4743 years agoMtihani kwakweli ningekua karibu ningemsaidia huyu dada kumpaa kapani ya kupelika muhimbili.
@
@Awatee3 years agoPolen kaka zangu allah awape wepes na subra insha allah.
@
@ashasaid50613 years agoKaka fabian pole kwa kazi nzito na kaka joseph. 1
@
@tifababynchimbi84543 years agoJmn hicho kidonda nikiona tumbo linauma ehe mungu amsaidie tu jmn. 10
@
@fairamkhan47443 years agoKa zahir jamn kwnn msingechukua chumba cha karibu na hospital ili kuepusha usumbufu wa usafir na hao walivo wageni ni changamito kabsa. 7
@
@nadrahassan52413 years agoJamani wasaidiwa waraisishieni wanao wasaidia unataka kula vizuri unadhani pesa inatoka wapi.
@
@salamanauthartanzania63013 years agoKaka zahir jitahidi ukileta mgonjwa dili nae hadi apone ndo ulete mgonjwa mwingine' ukileta wagonjwa mfululizo wengine watakosa msaada kaka. 4
Related videos for KWA MARA YA KWANZA FABIAN NA ZAHIR WAONGEA MAZITO MGONJWA KUANZA TIBA | KANSA | CHIPS:
kaka allah atakufanyia wepes utapata afuen insha allah. 1