Duration 7:11

SAFARI YA MAU MPEMBA NA AS SALAAM AIR KAZI KISIWANI PEMBA

43 121 watched
0
147
Published 2 Nov 2018

Safari na Zmotion Studios kisiwani Pemba katika utengenezaji wa Tangazo la Asalaam Air - Captain Mau Mpemba alipojikuta ameshika sukani tupu ya ndege -Video hii inaonesha safari hiyo na baadhi ya dodoso za ufundi wa kazi hiyo. #MauMpemba #MakameNuhusi #ZmotionStudios Kila wiki Zmotion Studios imaweza video mpya za kila aina zinazohusiana na wachekeshaji maarufu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla wanapendwa na kukubalika kila kona kutokana na kutengeneza video nzuri na zilizojawa na maadili na mafunzo. Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO -Mau Mpemba -Makame Nuhusi KUTANGAZA NASI TUPIGIE: 255774001600 http://instagram.com/zmotionstudios https://facebook.com/zmotionstudios /zmotionstudios -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "MAKAME NUHUSI ANAHONGA KIWANJA ZANZIBAR (FUMANIZI)" /watch/gQXSp186wpF6S -~-~~-~~~-~~-~-

Category

Show more

Comments - 25