Duration 1:57

Maurine Cherotich aibuka mshindi katika mbio za mita elfu tano ya mashindano ya riadha kwa chipukizi

68 watched
0
0
Published 3 Jul 2021

Maurine Cherotich alionesha weledi mkubwa na kuibuka mshindi katika fainali ya mbio za mita elfu tano kwenye siku ya pili ya mashindano ya riadha ya majaribio kwa chipukizi katika uwanja wa Kasarani. Kwingineko, timu ya taifa ya raga ya wachezaji kumi na watano kiila upande itachuana na Senegali na Zambia kwenye mechi za kundi B za raundi ya pili ya kufuzu kwa michuano ya Bara Afrika kuanzia Julai tatu hadi kumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football

Category

Show more

Comments - 0