MAHITAJI:
1.Figo kilo moja
2. Vitunguu maji vikubwa viwili
3. Nyanya za kawaida tano na kijiko kidogo kilichochaa nyanya ya kopo
4. Karoti kubwa moja
5. Hoho kubwa moja
6. Kitunguu saumu kijiko kidogo cha chai
7. Tangawizi kijiko kidogo cha chai
8. Chumvi utakayoona itatosha
9. Cream kikombe kimoja cha chai
#PikanaBabysky