Duration 4:19

Ijue Namba yako ya Bahati na Faida Zake - S01EP27 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum

301 527 watched
0
1.5 K
Published 19 Mar 2018

Ijue namba yako ya bahati na faida zake ili uweze kufanya maamuzi sahihi kinyota. Namba yako ya bahati unaweza kutumia sehemu mbalimbali. Mnajimu Kuluthum anaelezea umuhimu wa kujua namba yako ya bahati na faida zake. Mnajimu Kuluthum anatueleza jinsi Nyota yako inavyoweza kukusaidia katika maamuzi haya. Kama kawaida, usisite kutuachia maswali yako. Kujua Namba yako Bahati kabla ya kufungua biashara yako ni muhimu sana. Kama unamaswali utatupigia simu au tuachie comment hapo chini. Tembelea Facebook account https://web.facebook.com/utabiriwanyota

Category

Show more

Comments - 0