Duration 7:48

Jaji Warioba: Nchi imepiga Hatua Kubwa Tangu Uhuru Mpaka Tumeingia Uchumi Wa Kati

191 watched
0
0
Published 27 May 2021

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema tangu Uhuru, #Tanzania imepiga hatua kubwa mpaka kuingia Uchumi wa Kati lakini bado yapo matatizo hasa katika eneo la umasikini. #JamiiForums #Uchumi #

Category

Show more

Comments - 0