Duration 11:36

HARMONIZE ''SALLAM ALIMZIMIA MAIKI KIBA SHOW YA KENYA FIGISU WALIPANGA NIKIWA WCB

115 569 watched
0
1.1 K
Published 18 Nov 2021

HARMONIZE ANANDISHA HASIRA ,ATOBOA SIRI ZA DIAMOND PLUTNUMZ

Category

Show more

Comments - 167
  • @
    @13_amissi523 years ago You are someone who fend for yourself bro i wish you happiness in your career brother kip going. 11
  • @
    @kdeemorningstar59163 years ago Brother god bless you forever you must struggle, forget all of that let them talk about you as they want. 16
  • @
    @jokhamohammed9763 years ago Hongera sana hamo kwa uvumilivu asilimia moyo wangu umeumia sana ulivyo nyanyasika ndio mana ulisema bora uwe masikini lakini uwe huru sasa nimekuelewa vizuri nimeumia sana. 10
  • @
    @malopemaliyamungu52433 years ago Wewe ni mpumbavu sana. Nikupe mfano huu,
    mnapokuwa kwenye jahazi na mnaelekea mashariki mkiona mwenzenu anatoboa jahazi au anapiga kasia kuelekea . ...Expand 2
  • @
    @kajinjirashid55903 years ago Kakaa harmoo. Haki pole binadamu wengu wako hvo. Kile kidogo chako pia wakitaka wakupore. Bt ol in ol. Stick to allah. Allah is everything in dis world n heaven bro. Big up. 3
  • @
    @ip_header3 years ago Very sad hawa wcb wanajifanya wema kumbe majambazi. 10
  • @
    @mohamedsalim72713 years ago Salam sk.
    king kiba atabaki kua juu. Mfalme king kiba. Hata wakimzimia mike pumbavu zao wcb.
    3
  • @
    @mandyuwimana77353 years ago Njia ya mwongo fupi kila siku. Alikiba mungu atakulinda mahali pote ulipo. Ile ya kenya waliku tendeya hakuna mtu ata sahawu! Malipo ya mond awa watoto wake ndo wata mtowa inje pole. 5
  • @
    @maryannemwangi3413 years ago Uzuri nikuwa atamzimie maik yeye hutegemea mungu na king anaroho mzuri. 8
  • @
    @agnesmwangombe69993 years ago Self explanatory bora ufanye cha kwako. 6
  • @
    @jazilaatibu3503 years ago Harm sijawai moment tokanimilik cm kubwa ila hii nimemekoment harmonizi mm binafsi nilihisi kunavitu viponyuma ya pazia lakini tulisubili mudatu wakuviongea najuwa wamesema sana ila kuomba mungu ndokilakitu tunakuombea. 5
  • @
    @halimamohammed41083 years ago Mtu ambae a namuelewa atamuelewa ila wasijuia mana yake hawatamuelewa. 7
  • @
    @zawdatkidesu15553 years ago Bora kuwa masikin uwe huru nikauli konki. 2
  • @
    @hadija8463 years ago Pole sana yaani unanitowa machozi usijali yameisha hachananae huyo mjinga
    pamoja sana konde wangu.
    2
  • @
    @shylee91813 years ago Mnakuaga na upuuzi wa kuweka kichwa cha habari tofauti na storyufala huo. Tena inafaa tuwareport muwe mnafungiwa. 2
  • @
    @shabankhalfan74663 years ago Dah! Jesh! Umefunguka sana askar wang.
  • @
    @abdallahhamza96893 years ago Unazinguwa dogo kaa kiprofacinal mshkaj akitoa hit kupitia huu upupu wako ata go unazima album yako kichoko ujue. 3
  • @
    @happypius41923 years ago Salaam ndie mchawi wenu ogopa sana machawa. 4
  • @
    @tresoremmanuel35093 years ago Mungu nimweema yy ndo anajuwa alipokuandaliausiweke chuki moyon mwako. Waheshim wakubwa wanao kuheshim na kukushaul. 1
  • @
    @ayubumwaikela72503 years ago Domo anaroho mbaya sana anapenda awe yeye kama yeye lakini konde ni hatar sana. 8
  • @
    @richardmosses67763 years ago Mbn kama naanza kupts hurum juu yko mond kam hay ni yakwl acha kumzngua chalii maan ww xi mungu mwach sasa inatosha. 1
  • @
    @therock86503 years ago Kweli watu wanajua kumuharibu mtu kwani shida iko wapi na wewe unajitegemea? Acheni wifu jamani sio zuri wewe jipange tu kufanya kazi kaka ata bado kuna . ...Expand 1
  • @
    @htvtanzania34833 years ago Kwan harmonize hio hele uliyo kuwa una lipia hela uli kuwa una fanya kaz gan ukawa una mlipia mond.
  • @
    @farahanafarer75883 years ago Ulivokuwa wbc ulimdharau sana kiba leo yamekukuta. 13
  • @
    @rymomegondwe74993 years ago Apo unasema ukweli kaka ww uyibe bite hujuw kuimba ww, unaweza vinzri sana achana nao amekosa chakusema hao.
  • @
    @kalambojunior62903 years ago Ivi kumbe kuna mda ulikuwa unafanya vizuri.
  • @
    @zanzibarspice86863 years ago Mkubwa fella ni mnyonyaji wa kwanza wa wasanii tanzania.
    yy ni chanzo cha wasanii kuingia ktk unyonyaji.
  • @
    @chiddybanda45983 years ago Sio lazma uongee kila kitu, mengine kausha. 2
  • @
    @godlovemasamakibatandu20923 years ago Ndoto ya midia mtwara mwsho wa siku huna ndoto yke ni mzk. 1
  • @
    @agnesmichael43423 years ago Umefeli. Ww malekan. Unaongopa ww chafuw lakn cyoo kwel.
  • @
    @rivarasani27733 years ago Wewe kipindi icho ulikuwa na pesa gani?
  • @
    @mimifineliving20103 years ago Show ya marekani imegoma sasa kaja na hili ili kupoteza, hebu waambie mashabiki wako tour yako ilikuwaje acha longolongo, utoto mwingi.
  • @
    @nancymorenje38803 years ago Umezidi umbea duh. Unajua wewe ni mwanaume. Kwa hiyo kila mahali unapo kwenda ukimwagana nao ukitoka tu utakuja kuropoka huku kwenye media. Unatisha.
  • @
    @agnesmichael43423 years ago Ww huon niuongo na uchonganishi kwann usiongee yako hyo kiba kwan hana mdom kwendraa huko.
  • @
    @irenemacha56613 years ago Tabia ulioionyesha. Nikama ile yawapenzi wakichana wanaanza kutoleana siri. Fyuuu. 1
  • @
    @elrachum38663 years ago Mlisema ruge wa watu kuwa alikuwa mmbaya kumbe ruge alikuwa ni mtu mzuri zaidi.
  • @
    @thomiq96743 years ago Mental sana harmo, unafiki af sijui huwezi kufanya mziki wako bila ya mond kumbe. 1
  • @
    @kitavjacobkitavjacob72013 years ago Kani nani mbaya apa? Mara ray mara mond ooh smk, babu tale sijui sykes apa!
  • @
    @theafricanprincevivecongo86323 years ago Nyie wasenge mambo ya kumueka kiba bila yey kuongelea ni ujing.
  • @
    @htvtanzania34833 years ago Kwan hii pimbi ilikulizwa nini mpka ika ropoka yote hayo.
  • @
    @rickyrussel37463 years ago Diamond ni star huku kenyanamba one
    what happened bwtn you should remain btwn you ka mkataba.
    2
  • @
    @koreshicyrus37513 years ago Haya mambo ni kawaida kwawanamziki, siasa au mahala popote penye riziki. Mwanaume wa kweli anapambana na si kulialia. Na nitashangaa sana diamond akijibu bado siri za jembe ni jembe akikosana nao tutazipata.
    umeniudhi ulipoanza kutaja alikiba, mara burnaboy, mara salam sk, mara rayvany, mara n. K. Kwanini usitoe hoja bila kutajataja majina ya watu?
    huu ni umama
    .
    ...Expand
  • @
    @yakubually66543 years ago Kwann usiseme siku zanyuma na kwel ulitaka kushindana boss wako kipind unatoa nyimbo ukajiona umekua star ukawakibul umetendewa mazur 99 una futa kwa id="hidden8"baya moja ww ni mnafiki yann unatoa na records za ray van mnafiki ww ndio mana master j alikutoa. ...Expand
  • @
    @dominicjulius31083 years ago Ww mchonganishi rayvan anahusikaje ili umchonganishe we mtu mbaya sana. 2
  • @
    @rashidahmed80713 years ago Huna lolote korosho kama demu wa baa ww kama mwanamke tu albam lako bovu.
  • @
    @waziribori22803 years ago Watanzania tujifunze tunaowasaidia wakishapata watakuumbua wewe harmo ulitakiwa kukaa kimya achana na hizo kiki ulivyokuwa mbagala aliyekuibua nani na . ...Expand 6