Duration 2:43

HAPA NDIPO UMEPUMNZISHWA MWILI WA EPHRAIM MWANSASU , MAKABURI YA ISYESYE MBEYA

31 420 watched
0
108
Published 2 Sep 2021

Category

Show more

Comments - 24
  • @
    @amockkalinga15203 years ago Pumzika kwa amani mtumishi wa mungu kazi yako umeliza kazi kwetu sisi tuliobaki. 2
  • @
    @richardmwakasege52863 years ago Poleni sana kwmpendwa wetu mwansasu tutakumbuka daima.
  • @
    @jaminussanga30313 years ago Ubarikiwe mtumishi tinga kutupa yaliokuwa yakiendelea.
  • @
    @kikotikikoti71763 years ago Dah nilikuwa nakukubali sana mwamba pumzika kwa amani. 1
  • @
    @abisairobert50983 years ago Pumzika kwa amani
    mchungaji na mwimbaji wa nyimbo zilizotuinua wengi kiimani.
  • @
    @raymondrobert89213 years ago R. I. P mtumishi wa bwana umevipiga vita.
  • @
    @musabalinaki96923 years ago Dah, wimbo wako babanikilala lala mauti hakuna awezae kuniamusha ndg na jamaa wataliaa lakini hata hivyonenda baba nenda na tutaendelea kukumbuka kwa nyimbo.
  • @
    @jestinabenedict46203 years ago Mtu wa mungu hata ibada inakuwa ndefu mazishi yaheshima naya mpangilio.
  • @
    @jestinabenedict46203 years ago Kweli ipo faida kubwa kumtumikia kiristo nahakika bwana akupokee.
  • @
    @jestinabenedict46203 years ago Tujitahidi kutenda mema tukakutane mbinguni askofu wetu.