Duration 3:40

Chege X Maka Voice - Utarudi (Official Video) Ft. Maua Sama

383 517 watched
0
2.3 K
Published 9 Dec 2018

Watch Chege Chigunda and Maka Voice's latest video song #Utarudi featuring Maua Sama. Follow Chege on Instagram: https://www.instagram.com/chegechigunda Facebook: https://www.facebook.com/ChegeChigund ... Twitter: https://twitter.com/ChegeChigunda YouTube: https://goo.gl/2M5oDP Lyrics: VERSE-1 Kuwa na heshima na ustaraabu, Ficha makucha yako Kuwa na adaabu Mafunzo ya mama ndio lako jawaabu Tumia kama kinga usi yadharaauuuuuu Wala ndoa sio jela sio jela Una kwepa ukapeela ukapela Wala ndoa sio jeelaa sio jelaaa Una kwepa ukapelaa ukapela Wengine wanakosaga ndoa Kwa tabia chafuuu Binti tulia na mumeo Baridi baarafuuu CHORUS Aiya iya umeolewa utarudi nyumbani kutembea Aiya iya umeolewaa Umeoleewa Aiya iya umeolewa Utarudi nyumbani kutembea Aiya iya umeolewaa Umeoleewa Kwaheri baba na mama Kuonana majaliwa Aiya iya umeolewa Umeolewa Kwaheri ndugu zangu kuonana majaliwa Aiya iya umeoleewa umeoleewa VERSE- 2 Wameshikana mikoono........ Wamesimama...... Wakina mama wale Wakina baba wale Nawaona wajomba wale Mashangazi wale Wanapiga vigere gere kwa furaha Aaaaaaah Zawadi za kumwaga wana mwaga Aaaaah Ukiwa kwako kuwa mvumiliivu Rafiki yako awe mume wako Uuuuuu uuuu uuuuu Maisha yako sasa ni yakwakee Watoka kwenu leo waenda kwakoo Uuuu uuuu uuuu CHORUS aiya iya umeolewa Utarudi nyumbani kutembea Aiya iya umeoleewa umeoleewa Aiya iya umeoolewa Utarudi nyumbani kutembea Aiya iya umeoleewa umeolewa Kwaheri baba na mama kuonana majaliwa Aiya iya umeolewa umeolewa Kwaheri ndugu zangu kuonana majaliwa Aiya iya umeolewa umeoleewa BRIDGE Aye aye aye aye Aye aye aye aye OUTRO Wameshikana mikoono...... Wamesimama..... Wameshikana mikoono...... Wamesimama...... Wazazi wanalia kwa furaha Wazazi wanalia kwa furaha Leo ni furahaaa Uuuu uuuu uuuuu Uuuu uuuu uuuuu #ChegeChigunda #Utarudi #Trending

Category

Show more

Comments - 225