Duration 3:39

Kijana mmoja aendesha maisha yake kwenye handaki

101 244 watched
0
310
Published 18 Dec 2013

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Chacha Makenge anaishi na kuendesha maisha yake katika handaki alilolichimba katikati ya pori lililopo katika eneo la chuo kikuu jijini Dar es Salaam kwa miaka minne sasa,huku akiitaka serikali kuwa na utaratibu wa kuratibu shuguli za vijana ili kulinda amani na usalama wa taifa.

Category

Show more

Comments - 57