Duration 9:3

Baada ya nyumba kuchomwa na kuvunja Arusha, wananchi wafunguka

6 889 watched
0
25
Published 9 Jul 2021

Nao wananchi wakizungumzia tukio hilo,walisema kuwa, baadhi yao walishikwa na hasira na kwenda kuichoma moto Nyumba ya Loisulye wakidai amefanya uonevu kutumia madalali wa Mahakama na Polisi kuvunja Nyumba ya ndugu yake. Diwani wa Kata hiyo ya Sokon Two ,Obedi Melami amesema kuwa, yeye alikuwa nyumbani kwake na kupigiwa simu kuhusu taarifa za kubomolewa kwa nyumba hiyo ndipo alipofika eneo la tukio na kukuta   nyumba hiyo ikibolewa.

Category

Show more

Comments - 11