Duration 11:9

Chalamila atua jengo la abiria Mwanza Airport na ujumbe wa Rais Samia

7 147 watched
0
31
Published 27 May 2021

Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila Mei 26, 2021 amekagua ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza na kubainisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kutoa fedha zilizosalia kwa ajili ya kukamilisha mradi huo pamoja na mingine iliyoanzishwa wakati wa uongozi wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17, 2021. Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook @BMG HABARI https://web.facebook.com/bmghabari Twitter @bmghabari https://twitter.com/bmghabari Instagram @bmghabari https://www.instagram.com/bmghabari/ #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

Category

Show more

Comments - 11