Duration 15:00

Jerry Muro aivaa CHADEMA ajibu tuhuma za Lema

141 350 watched
0
437
Published 7 Oct 2017

Jerry Muro amejibu tuhuma zilizotolewa na mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema kwamba yeye ndiye aliyehusika katika kufungua taili ya gari na pia ni mmoja wa watu wanaoshabikia ndoa za jinsia moja.

Category

Show more

Comments - 207