Duration 15:6

Wataalamu wa Jiolojia wafanya utafiti wa Chemchem mkoani Kilimanjaro

640 watched
0
6
Published 21 Jun 2020

#Jiolojia #Kilimanjaro #UDSM Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kurugenzi ya Huduma kwa Umma pamoja na Idara ya Jiologia kutoka Ndaki ya Sayansi Asili na Sayansi Tumizi, imeleta wataalamu wa maji ya ardhini ili kuisaidia Manispaa na Moshi kupima na kuangalia maji yanayotoka ardhini na kujaa kwenye makazi ya watu na katika mradi mpya wa Stendi maeneo ya Majengo. Msafara huo wa wataalamu unaongozwa na Dkt. Mona Mwakalinga- Mkurugenzi Huduma kwa Umma, Dkt. Simon Melekioly, Dr. Remigius Gama na Bwn. Majura Songo kutoka Idara ya Jiolojia.

Category

Show more

Comments - 1