Duration 2:23

UTETEZI WA KOCHA WA MALAWI BAADA YA KIBANO CHA 2-0 KUTOKA TANZANIA

1 712 watched
0
5
Published 13 Jun 2021

Tanzania Leo imecheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Tanzania ikashinda 2-0 dhidi ya Malawili, magoli yakifungwa na John Bocco dakika ya 68 na Israel Patrick dakika ya 75.

Category

Show more

Comments - 1