Duration 10:14

MAMA MAARUFU MOSHI ANAENDESHA GARI LA KUBEBA MAITI WANAUME WANANIOGOPA

66 324 watched
0
249
Published 25 Feb 2019

Category

Show more

Comments - 92
  • @
    @johnmacha21945 years ago Good job mama this is a spiritual mission. 1
  • @
    @minabw73015 years ago Duuh wabongo kwa kuogopa maiti! Kuosha maiti, kumuandaa na kumsafirisha ni kazi nzuri sana tena ya kimungu na haitishi na wala huoti usiku. I never dream friends that you treated well on the other side. They will welcome you with love. ...Expand 4
  • @
    @worldrapamako39605 years ago Wakwa kucomment mkininyima like haa itakuwa roho mbaya nataka like 70 na me nijione star wa kesho jamani. 54
  • @
    @margarethsaramaki11005 years ago Hongera dada mungu akutangulie kwa kazi yako na akuepushe na balaa zote zasana. 14
  • @
    @gitu4me5 years ago Safi sana huyu mama hodari
    hizi ndo habari safi
    nzuri umeanza kutuletea.
    3
  • @
    @Views-mf8ir5 years ago Go mama mcha.
    i told u wewe ni moja kati ya mama wa dhahabu sana.
    mungu akubariki.
    1
  • @
    @fortnataangelo48055 years ago Kama umesikia mwanamke amebeba dunia, na unakubaliana, gonga like twende sawa, 14
  • @
    @azizasikalwani84325 years ago Nakupenda dada mungu akupe maisha marefu.
  • @
    @mtaalamwamambo20995 years ago Alafu kuna mjinga mmja utasikia wakiona wachaga wanafanikiwa wanasema ni freemasons, pumbavu kabsaa wachaga hoyeee. 14
  • @
    @gracetitus99635 years ago Hofu gani? Kama umezaliwa lazima siku moja utakufa. Watanzania acheni kuamini ushirikina na hofu zinzorudisha maendeleo nyuma. Hongera grace, graces are always strong women. 5
  • @
    @mahmudasalum95575 years ago Dah.so emotional. Unabeba sku moja unakufa unabebwa ww kwny gar ioio
  • @
    @janempoki17095 years ago Penda wewe mama nipeni like bhas na mm! 30
  • @
    @albertoarcangel58595 years ago Sawa kabisa dereva wa idara ya maji, mamaa nakupendag a sana mchangamfuu mno. 1
  • @
    @worldrapamako39605 years ago Wanaume awana ukame tuu watu wanabaka mpaka maiti ndembo itakuwaje wamuogope mama mbichi kama uyu. 4
  • @
    @kavoomshana24135 years ago Namjua huyu mother alikuwa idara ya maji anapiga gear ile cruzer ni nomaa huyo. 1
  • @
    @agnesarch84365 years ago Hongera mom, mungu akupe ujasiri na nguvu ya kufanya kazi yako,
    ila mtangazaji unauliza maswali ya ajabu asee eti " fedha unayopata inakusaidia ktk maswala gani? " brother r u serious!
    1
  • @
    @carolgasper21215 years ago Huyu mwandishi sjui alipitia usaili gani had kuajiriwa anarudia maswali yaleyale. 3
  • @
    @janniehenry95895 years ago Asante mama ulimfikisha nancy wetu kyela salama kabisa. 1
  • @
    @nkamangi4707last year Nimeendesha sana victoria funeral service ya home moshi ukiendesha watu wanahisi mgaidii jamani hii ni service kama service zingine.
  • @
    @liviaG875 years ago Millard ayo huyu mtangazaji si wa kiwango cha millard ayo. Sijui umemtoa wapi. 3
  • @
    @alexanderhaule76675 years ago Namjua hyu kwa wiki lazima nipishane nae hpa kcmc nikiingia chuo mara kadhaa. 5
  • @
    @deodatusnchimbi76335 years ago Wanaume wa dar atuwezi sisi izo vitu we pambana tu dada. 5
  • @
    @hisanmwakijungu104 years ago Kilicho nivutia ni ilo shape. Mengine yoote ata.
  • @
    @aminasalum19545 years ago Yote9 unamzigo dadaake balaa huo mshep nishida.
  • @
    @angeljackson43295 years ago Unauliza maswali kama unamuuliza mtoto wakati huyo ni mama na mtu mzima hebu uliza maswali yenye tija.
  • @
    @bashiruhassani1017last year Uyu mtangazaji anauliza maswar ya kijinga.
  • @
    @minabw73015 years ago Duuh wabongo kwa kuogopa maiti! Kuosha maiti, kumuandaa na kumsafirisha ni kazi nzuri sana tena ya kimungu na haitishi na wala huoti usiku. I never dream friends that you treated well on the other side. They will welcome you with love. ...Expand 4