Duration 1:42

Maneno ya Diamond Platnumz Msibani kwa Masogange

28 436 watched
0
114
Published 22 Apr 2018

Leo ilikuwa ni siku ya kuuaga mwili wa Video Queen Agnes Msogange katika viwanja vya Leaderz Club jijini Dar es salaam, msanii Diamond Platnumz alipata nafasi ya kutoa salam za pole viwanjani hapo.

Category

Show more

Comments - 62